Shi-xu alipata shahada ya uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Amsterdam

Shi-xu alipata shahada ya uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Amsterdam. Amekuwa mtafiti katika Chuo Kikuu cha Amsterdam; mhadhiri Chuo kikuu cha Taifa cha Singapore na Profesa mshiriki katika Chuo Kikuu cha Ulster, Uingereza. Vitabu alivyoandika kwa Kiingereza ni pamoja na Cultural Representations, A Cultural Approach to Discourse, Read the Cultural Other (Mhariri mkuu) na Discourse as Cultural Struggle (mhariri). Amekuwa mhariri mkuu mwanzilishi wa jarida la Journal of Multicultural Discourses (Routledge) na pia mhariri wa makala wa jarida la Studying Multicultural Discourses (wachapishaji cha chuo kikuu cha Hong Kong). Pia amekuwa mjumbe wa bodi nyingi za uhariri wa majarida mbalimbali mashuhuri ya kimataifa. Mtazamo wake kitaaluma ni kuwa lugha/mawasiliano/maandiko hapana budi ichunguzwe katika muktadha wa utamaduni, ushirikiano na mabadiliko. Kwa wakati huu yeye ni profesa wa Qiushi, mkurugenzi wa taasisi ya taaluma ya maandiko na utamaduni, vilevile ni mkurugenzi wa kituo cha taaluma ya maandiko mapya ya Kichina katika Chuo Kikuu cha Zhejiang, China. Barua-pepe: xshi@zju.edu.cn

  • Shi-xu
  • Sina Weibo
  • WeChat
  • Cultural Discourse Studies

Contact

Centre des études du discours chinois contemporain

Université normale de Hangzhou

19-201, 2318 Rue Yuhangtang,

Cangqian, District Yuhang, 311121, Hangzhou, Chine

E-mail: shi_xu@hotmail.com

Droit d'auteur

Copyright ©2010-2017 shixu.hznu.edu.cn tous droits réservés

Support technique:yixiaoyun

CV

Shi-xu alipata shahada ya uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Amsterdam

Shi-xu alipata shahada ya uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Amsterdam. Amekuwa mtafiti katika Chuo Kikuu cha Amsterdam; mhadhiri Chuo kikuu cha Taifa cha Singapore na Profesa mshiriki katika Chuo Kikuu cha Ulster, Uingereza. Vitabu alivyoandika kwa Kiingereza ni pamoja na Cultural Representations, A Cultural Approach to Discourse, Read the Cultural Other (Mhariri mkuu) na Discourse as Cultural Struggle (mhariri). Amekuwa mhariri mkuu mwanzilishi wa jarida la Journal of Multicultural Discourses (Routledge) na pia mhariri wa makala wa jarida la Studying Multicultural Discourses (wachapishaji cha chuo kikuu cha Hong Kong). Pia amekuwa mjumbe wa bodi nyingi za uhariri wa majarida mbalimbali mashuhuri ya kimataifa. Mtazamo wake kitaaluma ni kuwa lugha/mawasiliano/maandiko hapana budi ichunguzwe katika muktadha wa utamaduni, ushirikiano na mabadiliko. Kwa wakati huu yeye ni profesa wa Qiushi, mkurugenzi wa taasisi ya taaluma ya maandiko na utamaduni, vilevile ni mkurugenzi wa kituo cha taaluma ya maandiko mapya ya Kichina katika Chuo Kikuu cha Zhejiang, China. Barua-pepe: xshi@zju.edu.cn

Centre des études du discours chinois contemporain

Think-Tank pour la Communication de la Sécurité Nationale

Université normale de Hangzhou 19-201,2318

Rue Yuhangtang

Cangqian, District Yuhang, 311121, Hangzhou, Chine

Email:shi_xu@hotmail.com

Support technique:yixiaoyun

  • Shi-xu
  • Sina Weibo
  • WeChat
  • Cultural Discourse Studies